Thursday 29 December 2016

IRENE UWOYA NA DIAMOND WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA

IRENE UWOYA NA DIAMOND WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA


Diamond na Uwoya, walifanya jitihada za hali ya juu kuuficha ukweli kuhusu uhusiano wao lakini ilipofika Machi 25, mwaka huu, walinaswa kwenye hoteli moja yenye hadhi ya nyota tano, iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.  Ijumaa  lina ushahidi wa kutosha kutamka kwamba Diamond na Uwoya, walilala kwenye hoteli hiyo, chumba namba 208, waliingia saa 8:24 usiku kisha wakatoka kati ya


Available link for download