Friday, 23 December 2016

DIOMOND AMPASHA Q CHIEF

DIOMOND AMPASHA Q CHIEF


DIOMOND AMPASHA Q-CHIEF



Hii  ni  kauli  ya  msanii Diamond kuhusu Q chief: mi nafanya kazi, mazoezi na dancers, nahangaika kutafuta sare, kuandika nyimbo nzuri, wakati nafanya yote hayo we unakula unga, halafu unakuja kusema nasafiria nyota yako, nisafirie nyota ya mla unga? mi staki, staki, agombane na wakubwa wenzake kina dully mi aniache na wadogo wenzangu staki...?

Available link for download